Ndoto yangu nzuri sana kuliko zote – My Most Beautiful Dream (Kiswahili – Kiingereza)

Ndoto yangu nzuri sana kuliko zote – My Most Beautiful Dream (Kiswahili – Kiingereza)
Author :
Publisher : Sefa Verlag
Total Pages : 107
Release :
ISBN-10 : 9783739962337
ISBN-13 : 373996233X
Rating : 4/5 (37 Downloads)

Book Synopsis Ndoto yangu nzuri sana kuliko zote – My Most Beautiful Dream (Kiswahili – Kiingereza) by : Cornelia Haas

Download or read book Ndoto yangu nzuri sana kuliko zote – My Most Beautiful Dream (Kiswahili – Kiingereza) written by Cornelia Haas and published by Sefa Verlag. This book was released on 2022-01-26 with total page 107 pages. Available in PDF, EPUB and Kindle. Book excerpt: Kitabu cha watoto cha lugha mbili, kwa miaka 2-3 na zaidi (Kiswahili – Kiingereza) Lulu hawezi kulala. Mwanasesere zake zote wanaota sasa – papa, tembo, panya mdogo, dragoni, kangaruu na kitoto cha simba. Hata dubu ana shida kuendelea kufungua macho yake ... Dubu, je, utanipeleka kwenye ndoto yako? Huu ni mwanzo wa safari ya Lulu iliyomwongoza ndani ya ndoto ya mwanasesere zake – na mwisho kwenye ndoto yake nzuri sana kuliko zote. ► Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Bilingual children's picture book (Swahili – English) Lulu can't fall asleep. All her cuddly toys are dreaming already – the shark, the elephant, the little mouse, the dragon, the kangaroo, and the lion cub. Even the bear has trouble keeping his eyes open ... Hey bear, will you take me along into your dream? Thus begins a journey for Lulu that leads her through the dreams of her cuddly toys – and finally to her own most beautiful dream. ► With printable coloring pages! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.


Ndoto yangu nzuri sana kuliko zote – My Most Beautiful Dream (Kiswahili – Kiingereza) Related Books